MPUNGA

MPUNGA

  1. TXD 306

Jina

TXD 306

Kiasi cha mbegu zinazohitajika kwa ekari(kg)

15 kwa anayepandikiza (transplanting)

30 kwa anayemwaga (broadcasting)

Ekolojia

Skimu za umwagiliaji /uwanda wa chini mabondeni

Muda wa kukomaa(siku)

115-120

Mbolea ya kupandia

50kg/Ekari (DAP,NPK)

Mbolea ya kupandia

50kg/Ekari (DAP/NPK)

Mbolea ya kukuzia

50Kg Mbolea yenye kirutubisho cha N&K

Mavuno (t/ha)

6.5-7.0

Ustahimilivu

Unavumilia ugonjwa kimyanga (RYMV)

Sifa ya kunukia

Unanukia, una ladha nzuri