Parachichi

Aina za Kisasa/Chotara

Hass,

Sifa kuu-lina vipere vipere sehemu ya juu ya ganda/ngozi yake,

huchukua miezi 10- 14 maeneo ya baridi kukomaa),

uzito wa tunda ni gramu 150-300.