Soya

SOYA
1. UYOLE SOYA 2
JINA    UYOLE SOYA 2

Ukanda    1000-1800m juu ya usawa wa bahari
Nafasii ya kupandia (cm)    40*10
Kiasi cha mbegu zinazohitajika kwa ekari(kg)    35-40
Mbolea ya kupandia    50kg/Ekari (DAP, NPK)
Muda wa kukomaa    Siku 95-110
Mavuno kwa ekari (kg)    800-1000kg
​​​​​​