Choroko

CHOROKO

  1. IMARA

JINA

 IMARA

Ukanda

Mita 0-1500 juu ya usawa wa bahari

Nafasii ya kupandia

45cm*10cm

Kiasi cha mbegu zinazohitajika kwa ekari(kg)

8-10kg

Mbolea ya kupandia

50kg/Ekari (DAP,NPK)

Muda wa kukomaa

Siku 60-75

Mavuno kwa ekari (kg)

400-700